Audio Gospel

Msanii Music Group – Panga Mipango Yako

AUDIO Msanii Music Group – Panga Mipango Yako Download Mp3 Side Makini Blog
AUDIO Msanii Music Group – Panga Mipango Yako Download Mp3 Side Makini Blog

Msanii Music Group (MMG) ni kundi la muziki wa Injili kutoka Kenya linaloendelea kugusa mioyo ya wengi kupitia wimbo wao mpya “Panga Mipango Yako.” Wimbo huu unawahimiza waumini kuwa na imani, subira, na kumuachia Mungu mipango ya maisha yao.

RELATED: Bella Kombo Ft John Kavishe – Tembea Na Yesu

Kundi hili lilianzishwa mwaka 2020 wakati wa kipindi cha COVID-19, likiongozwa na Joe Msanii, na limekua kwa kasi kupitia nyimbo kama “Mtuliza Bahari” na “Safari Ya Wanaisraeli.” “Panga Mipango Yako” ni ushuhuda wa dhamira yao ya kutumia Injili kama chombo cha tumaini, mabadiliko na faraja, ukipatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.

AUIDO | Msanii Music Group – Panga Mipango Yako | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Explore more from  Israel Mbonyi;

Leave a Comment