Msanii wa muziki wa injili kutoka Kenya, Anastacia Muema, amerudi rasmi na wimbo mpya wenye nguvu ya kiroho unaoitwa “Tumeanza Tena.” Wimbo huu unaashiria mwanzo mpya katika safari yake ya muziki wa imani.
“Tumeanza Tena” unazungumzia matumaini, kurejea upya na nguvu ya imani kwa wale waliopitia changamoto au kuvunjika moyo. Kupitia mashairi yenye kugusa hisia na melodi tulivu, Anastacia Muema anakumbusha kuwa kwa Mungu, daima kuna nafasi ya kuanza tena. Wimbo huu unapatikana exclusive kupitia Side Makini Blog.
AUIDO | Anastacia Muema – Tumeanza Tena | Download Mp3
Explore more from Israel Mbonyi;

Leave a Comment