Msanii chipukizi wa Tanzania Sunny Voice ameachia rasmi wimbo mpya “Kwa Mfano (Remix 2)” akiwashirikisha Chenjeu na Lody Music. Remix hii inakuja baada ya mafanikio makubwa ya wimbo wa awali, uliogusa hisia za mashabiki wengi kutokana na ujumbe wake wa kweli.
RELATED: Sunny Voice – Kwa Mfano
Katika toleo hili jipya, wasanii hao wameongeza ladha mpya kupitia mitindo tofauti ya sauti na mashairi yenye kina zaidi. “Kwa Mfano (Remix 2)” unaendeleza ujumbe wa wimbo wa awali huku ukionyesha ubunifu na ukuaji wa Sunny Voice ndani ya Bongo Flava. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Sunny Voice Ft Chenjeu & Lody Music – Kwa Mfano (Remix 2) | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment