Msanii wa Tanzania Waddy B ameachia rasmi wimbo wake mpya “Katika,” akimshirikisha msanii anayekua kwa kasi Motra The Future. Wimbo huu unaanza kuvuta mashabiki kutokana na sauti yake tofauti na ujumbe mzito unaoakisi mabadiliko ya Bongo Flava ya sasa.
RELATED: Bam Boy – Sio Mwaka Huu
Jina “Katika” likiwa na maana ya ndani au kilichopo moyoni, linaakisi hisia, hustla, na changamoto za maisha halisi zinazowakumba vijana wengi. Kwa kuunganisha midundo ya kisasa na mashairi yenye uzito, “Katika” ni kazi inayoonesha ukomavu wa kisanii na ushirikiano wenye nguvu, ukitoka exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Waddy B Ft Motra The Future – Katika | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment