Muziki wa Tanzania unaendelea kung’ara baada ya msanii chipukizi Imuh kuachia rasmi wimbo wake mpya “Mwaka Huu.” Ni wimbo wenye ujumbe wa matumaini na msukumo, unaoendana na mwanzo wa mwaka mpya.
RELATED: Bam Boy – Sio Mwaka Huu
Kupitia “Mwaka Huu,” Imuh anaeleza dhamira ya kufanya mambo kwa tofauti, akiwahamasisha wale waliopitia changamoto miaka iliyopita wasikate tamaa. Midundo ya kisasa ya Bongo Flava na mashairi yenye maana vinafanya wimbo huu kuwa chanzo cha nguvu chanya na ari mpya. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Bruce Melodie, Diamond Platnumz & Brown Joel – Pom Pom | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment