Lody Music, jina halisi Omary Alawi Omary, ni msanii wa Bongo Flava anayejulikana kwa nyimbo zenye hisia nzito na ujumbe unaogusa maisha ya kila siku. Alipata umaarufu mkubwa kupitia wimbo “Kubali,” uliompa nafasi kubwa ndani ya muziki wa Tanzania.
RELATED: Lody Music – Tanzania
Tarehe 24 Desemba 2025, Lody Music ameachia wimbo mpya “Hatuwezi,” unaoelezea hali halisi za maisha, mahusiano na changamoto binafsi. Kupitia mashairi yenye hisia na midundo laini, wimbo unaonyesha nyakati ambazo mapenzi au mazingira hufanya ndoto fulani zisiwezekane. “Hatuwezi” ni uthibitisho wa ukuaji wa kisanii wa Lody Music, ukipatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Lody Music – Hatuwezi | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment