Rose Muhando, mzaliwa wa Kilosa, Morogoro – Januari 27, 1976, ni nguzo muhimu ya muziki wa Injili nchini Tanzania. Anajulikana kupitia nyimbo maarufu kama “Yesu Karibu Kwangu,” “Nibebe,” “Nitaamini,” na ushirikiano wake na wasanii kama Nanet Anet.
RELATED: Rose Muhando Ft Moses Nyaga – Ameandaa Meza
Tarehe 23 Desemba 2025, Rose Muhando ameachia wimbo mpya wa Injili uitwao “Christmass Song,” unaoleta ujumbe wa sifa, shukrani na kumtukuza Mungu wakati wa msimu wa Krismasi. Wimbo huu una midundo ya kuinua roho na mashairi yenye kugusa hisia, ukiwafaa waumini wa rika zote. Unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Rose Muhando – Christmass Song | Download Mp3
Hizi hapa nyimbo za Mercy Chinwo;

Leave a Comment