Msanii mkongwe wa muziki Tanzania, Best Naso, amerejea rasmi kwenye ramani ya muziki kwa kuachia wimbo wake mpya “Kona,” uliotoka Desemba 24, 2025. Wimbo huu tayari umeanza kuwavutia mashabiki wa Bongo Flava kutokana na ujumbe wake mzito na mtiririko wa kisanii.
RELATED: Best Naso – Friends
“Kona” umeundwa kwa ubunifu wa kisasa unaochanganya midundo ya Afro na ladha ya urban, ukimpa Best Naso nafasi ya kuonyesha sauti na mashairi yake yenye nguvu. Ni kazi inayothibitisha uzoefu wake na uwezo wa kuendana na mabadiliko ya muziki wa sasa, ikipatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Best Naso – Kona | Download Mp3
Explore more songs from Best Naso;

Leave a Comment