Rose Muhando, alizaliwa 29 Julai 1976, ni msanii mkongwe wa muziki wa injili kutoka Tanzania, anayeheshimika sana Afrika Mashariki na Kati. Amejulikana kupitia nyimbo za injili kama “Mteule Uwe Macho,” “Yesu Nakupenda,” “Nibebe,” na “Nipishe Nipite,” na mara nyingi huitwa malkia wa muziki wa injili.
RELATED: Rose Muhando Ft Moses Nyaga – Ameandaa Meza
Tarehe 24 Desemba 2025, Rose Muhando ameachia wimbo mpya wa injili “Mwaka Huu,” akimshirikisha mhudumu wa injili kutoka Kenya Stephen Kasolo. Wimbo huu ni tamko la kinabii linaloleta ujumbe wa matumaini, ushindi na baraka kwa waumini katika mwaka mpya, ukiwa exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Rose Muhando Ft Stephen Kasolo – Mwaka Huu | Download Mp3
Hizi hapa nyimbo za Mercy Chinwo;

Leave a Comment