Gwiji wa muziki wa Tanzania Saida Karoli ameachia rasmi wimbo wake mpya “Nkwijukye,” akithibitisha kwa mara nyingine kwa nini anaendelea kuheshimiwa sana ndani ya muziki wa Afrika Mashariki. Anajulikana kwa mizizi ya muziki wa asili, sauti nzito na mashairi yenye ujumbe wa maisha.
RELATED: Rayvanny Ft Saida Karoli – Mama
Kupitia “Nkwijukye,” Saida Karoli anawasilisha wimbo wenye hisia nzito na maudhui yanayogusa moyo. Akiwa na kazi maarufu kama “Maria Salome,” “Mtoto wa Mama,” na “Mali ya Maskini,” wimbo huu mpya unaendeleza urithi wake wa kuunganisha muziki na uhalisia wa jamii, ukipatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Saida Karoli – Nkwijukye | Download Mp3
Explore more Singeli from Side Makini Blog

Leave a Comment