Audio Gospel

Henrick Mruma – Mbele

EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog
EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog

Msanii wa muziki wa injili kutoka Tanzania, Henrick Mruma, ameachia wimbo mpya wa ibada “Mbele” kutoka kwenye EP yake Convo with Christ, iliyotoka rasmi tarehe 20 Desemba 2025. Mruma anafahamika kwa nyimbo zake zenye ujumbe wa imani, matumaini na faraja kwa waumini.

DOWNLOAD: Obby Alpha – Nani

“Mbele” ni wimbo unaoelekeza moyo mbele ya Mungu kwa unyenyekevu na imani. Kupitia kazi zake kama “Kaa Nami,” “Umenipendelea,” na “Ujasiri Wangu Kama Simba,” Henrick Mruma ameendelea kuwa sauti muhimu ndani ya muziki wa injili Tanzania, na wimbo huu unaendeleza safari hiyo, exclusive kupitia Side Makini Blog.

AUIDO | Henrick Mruma – Mbele | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Hizi hapa nyimbo za  Mercy Chinwo;

Leave a Comment