Ibrahim Ayoub Mandingo, anayejulikana kisanii kama Country Wizzy, alizaliwa 15 Novemba 1990, Dar es Salaam, Tanzania. Msanii huyu wa hip-hop/rap alipata umaarufu mkubwa kupitia wimbo “Mateso” aliomshirikisha Lynah, na ametoa nyimbo maarufu kama “Turn Up,” “Wanaona Haya,” “Leo,” na “Body.” Amefanya kazi na wasanii wakubwa wakiwemo Skales, Seyi Shay, Khaligraph Jones, na Emtee.
DOWNLOAD: Country Wizzy – Mama
Tarehe 22 Desemba 2025, Country Wizzy ameachia wimbo mpya wa rap “Nataka” akiwashirikisha Moni Cetrozone, Posh Boy, Bway, na Papy. Wimbo huu uliotayarishwa na Swaelo8 unaelezea tamaa, malengo na hali halisi ya maisha, huku kila msanii akitoa mistari yenye nguvu na kuufanya “Nataka” kuwa miongoni mwa ngoma kali za hip-hop kwa sasa, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Country Wizzy Ft Moni Cetrozone, Posh Boy, Bway, Papy – Nataka | Download Mp3
Explore more songs from Samia:
- Alikiba – Waambieni
- Shilole – Bendera (CCM)
- Beka Flavour – Nampenda Samia
- Rayvanny – Kwetu (Mama Samia)
- Alikiba – Tunatamba Nae (Samia)
- Harmonize – Mama Anashindwaje
- Abdukiba – Tucheze Na Mama Samia
- Sholo Mwamba X Khadija Kopa – Tunakwenda na Samia (2025 CCM)
- Mrisho Mpoto Ft. Hamadai – Hatuna Deni Na Mama (SAMIA)

Leave a Comment