Audio Gospel

Henrick Mruma Ft. Kelly John – Just Enjoy

EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog
EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog

Henrick Mruma ni msanii wa injili kutoka Tanzania anayejulikana kwa nyimbo zenye ujumbe wa imani, matumaini na kumtumaini Mungu. Kupitia wimbo wake mpya “Just Enjoy,” akimshirikisha Kelly John, Mruma anaendelea kugusa mioyo ya waumini kwa kazi inayopatikana kwenye EP Convo with Christ, iliyotoka 20 Desemba 2025.

DOWNLOAD: Obby Alpha – Nani

Henrick Mruma amewahi kuachia nyimbo kama “Kaa Nami,” “Umenipendelea,” “Ujasiri Wangu Kama Simba,” na “Zaidi Ya Fahamu,” pamoja na kushirikiana na Essence Of Worship kwenye wimbo “There Is More.” “Just Enjoy” ni wimbo wa injili unaohamasisha waumini kufurahia neema ya Mungu na kuishi kwa imani, exclusive kupitia Side Makini Blog.

AUIDO | Henrick Mruma Ft. Kelly John – Just Enjoy | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Hizi hapa nyimbo za  Mercy Chinwo;

Leave a Comment