Msanii wa injili kutoka Tanzania Henrick Mruma ameachia wimbo mpya wa kuabudu “Nipe Moyo” akimshirikisha Elisha Gerald, kutoka kwenye EP yake Convo with Christ. Mruma anafahamika kwa nyimbo zake zenye ujumbe wa imani, matumaini na uhusiano wa karibu na Mungu.
DOWNLOAD: Obby Alpha – Nani
“Nipe Moyo” ni wimbo wa maombi unaoelezea hitaji la moyo mpya na imani thabiti. Kupitia sauti tulivu na maneno rahisi yenye uzito wa kiroho, wimbo huu unawahamasisha waumini kuendelea kumtegemea Mungu katika safari yao ya kiimani. Wimbo umetoka rasmi Desemba 20, 2025, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Henrick Mruma Ft. Elisha Gerald – Nipe Moyo | Download Mp3
Hizi hapa nyimbo za Mercy Chinwo;

Leave a Comment