Msanii maarufu wa Singeli nchini Tanzania Mimah, anayejulikana kama “Malkia wa Singeli,” ameachia rasmi wimbo mpya wenye nguvu kubwa uitwao “Ushamba.” Wimbo huu unaonesha mtiririko wa kasi, sauti kali ya mtaani, na mvuto halisi unaoakisi utambulisho wa Singeli ya asili.
RELATED: Msaga Sumu – Mungu Wangu
Akiwa mshindi wa tuzo ya Best Female Singeli Artist na mshiriki wa matamasha makubwa, Mimah anaendeleza ubora wake kupitia kazi hii mpya. “Ushamba” unachanganya midundo ya haraka, mashairi yanayoeleweka, na vibe ya burudani inayofaa kwa sherehe za mtaani, klabu na playlist za DJ. Ni wimbo unaogusa uhalisia wa jamii huku ukibaki wa kucheza muda wote, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Mimah – Ushamba | Download Mp3
Explore More songs from Meja Kunta;

Leave a Comment