Audio

Kassam – Sijui

AUDIO Kassam – Sijui Download Mp3 Side Makini Blog
AUDIO Kassam – Sijui Download Mp3 Side Makini Blog

Kassim Rashidi, anayefahamika kwa jina la kisanii Kassam, ni msanii chipukizi wa Bongo Flava, dancer na muigizaji aliyezaliwa 13 Mei 1999, Mwananyamala, Dar es Salaam. Kassam amejijengea jina kupitia nyimbo zinazotrend na uwepo wake mkubwa mtandaoni, hasa YouTube.

RELATED: Rich Mavoko Ft. Chino Kidd – Kill MySelf

Tarehe 14 Januari 2026, Kassam ameachia rasmi wimbo wake mpya “Sijui,” wimbo wa hisia unaoelezea mkanganyiko na maswali yanayoibuka katika mapenzi. Neno “Sijui” linaakisi hali ya mtu anayepambana na hisia, hajui kama aendelee au aachane na mapenzi. Kwa sauti yenye majonzi na midundo laini ya Bongo Flava ya kisasa, wimbo huu unagusa hisia za wengi na kuthibitisha ukuaji wa Kassam ndani ya muziki wa Tanzania. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.

AUIDO | Kassam – Sijui | Download Mp3

>

DOWNLOAD NOW

Explore More songs from Meja Kunta;

Leave a Comment