Marianne Namshali Mdee, maarufu kama Mimi Mars, ni msanii wa Tanzania anayejihusisha na uimbaji, uigizaji na kazi za media. Alizaliwa Paris, Ufaransa, na anajulikana kwa nyimbo kama “Shuga” na “Niguse,” pamoja na kushiriki katika tamthilia kama Jua Kali. Anafahamika kwa sauti yake nzito na mtindo wa kipekee unaochanganya Bongo Flava, R&B na Pop.
RELATED: Jay Melody – In Love
Tarehe 14 Januari 2026, Mimi Mars ameachia wimbo wake mpya “Gimmie.” Wimbo huu una midundo ya kisasa ya Afro-pop, sauti zenye mvuto na ujumbe wa kujiamini, uhuru na kufurahia maisha. “Gimmie” unaonyesha ubunifu na nguvu ya kisanii ya Mimi Mars, na unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Mimi Mars – Gimmie | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment