Selemani Jabir Msonjele, anayefahamika kwa jina la kisanii Msaga Sumu, ni mmoja wa waanzilishi wa muziki wa Singeli nchini Tanzania. Maarufu kama “Mfalme wa Uswazi,” Msaga Sumu amejijengea heshima kubwa kupitia nyimbo kama “Mwanaume Mashine,” “Babu wa Luanga,” na “Uswahilini Sihami,” zinazoakisi maisha halisi ya mitaa ya Dar es Salaam.
RELATED: Msaga Sumu – Mungu Wangu
Tarehe 14 Januari 2026, Msaga Sumu ameachia wimbo wake mpya wa Singeli “Hizoo Mie.” Wimbo huu una midundo ya kasi, mashairi ya mtaani na nguvu ya kipekee ya Singeli, ukithibitisha kwa mara nyingine nafasi yake kama nguzo muhimu ya muziki huu. “Hizoo Mie” ni burudani halisi kwa mashabiki wa Singeli na unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
.AUIDO | Msaga Sumu – Hizoo Mie Sinaga | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment