Lody Music, jina lake halisi Omary Alawi Omary, alizaliwa Temeke, Tanzania, amerudi na wimbo mpya wa mapenzi “Ife Mi (Mpenzi Wangu)”. Msanii huyu anajulikana kwa hits kama “Kubali,” huku akipendwa kwa sauti yake tamu na mashairi yanayogusa moyo kuhusu upendo.
RELATED: Dogo Dee Ft Lody Music – Nimejua
Wimbo huu unachanganya maneno ya Kiswahili na Yoruba, ukiwasilisha ujumbe wa mapenzi kwa hisia za kweli na midundo laini. “Ife Mi (Mpenzi Wangu)” unaonesha ukubwa wa Lody Music katika storytelling, sauti tamu, na unaimarisha nafasi yake kama mmoja wa wasanii chipukizi wenye mvuto zaidi wa Bongo Flava. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Lody Music – Ife Mi (Mpenzi Wangu) | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment