Audio

Dogo Dee Ft Lody Music – Nimejua

AUDIO Dogo Dee Ft Lody Music – Nimejua Download Mp3 Side Makini Blog
AUDIO Dogo Dee Ft Lody Music – Nimejua Download Mp3 Side Makini Blog

Msanii wa Tanzania Dogo Dee ameachia rasmi wimbo mpya wa hisia titled “Nimejua,” akimshirikisha Lody Music. Wimbo huu umeanza kuwagusa wengi kutokana na ukweli wake, ukisimulia safari ya mapenzi, majuto, na mafunzo ya maisha.

Kupitia mashairi ya mtaani na lugha halisi, Dogo Dee anaelezea uhusiano uliovunjika kwa sababu ya kiburi, uzembe na maamuzi mabaya. “Nimejua” ni wimbo wa kukiri makosa na kutambua thamani ya mapenzi baada ya kuchelewa, ukiwasilishwa kwa sauti yenye maumivu na midundo ya Bongo Flava inayogusa moyo. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.

AUIDO | Dogo Dee Ft Lody Music – Nimejua | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment