Gift Stanford Joshua, anayefahamika kwa jina la kisanii Gigy Money, alizaliwa tarehe 18 Julai 1998 na ni msanii wa muziki wa Bongo Flava pamoja na staa wa mitandao ya kijamii kutoka Tanzania. Alipata umaarufu mkubwa mwaka 2017 kupitia wimbo “Papa”, na tangu hapo ameshirikiana na wasanii kama Whozu, Rosa Ree, Lava Lava, na wengine.
RELATED: Gigy Money – Kompa
Tarehe 8 Januari 2026, Gigy Money amerudi rasmi kwenye muziki kwa kuachia wimbo mpya “Go,” akimshirikisha mtayarishaji na hitmaker S2kizzy. Wimbo huu una midundo ya kisasa ya Bongo Flava na unabeba ujumbe wa kujiamini, uhuru na kusonga mbele bila hofu. “Go” ni hatua nyingine muhimu katika safari ya Gigy Money ya muziki, ukiwa exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Gigy Money Ft S2kizzy – Go | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment