Dayna Nyange, jina halisi Mwanaisha Said Nyange, ni msanii wa Tanzania aliyezaliwa Mwanza na kukulia katika safari ya maisha iliyomfikisha Dodoma, Morogoro, na mara kwa mara Dar es Salaam. Kupitia muziki wake unaochanganya Bongo Flava, R&B, Zouk na Jazz, Dayna ameendelea kujenga utambulisho wake wa kipekee.
RELATED: Dayna Nyange – Balance
Kupitia wimbo wake mpya wa mapenzi “This Love,” uliopo ndani ya EP Change, Dayna anaelezea uzuri wa upendo wa kweli, uaminifu na kujitoa. Wimbo huu una sauti laini, mashairi yenye hisia na ujumbe unaogusa mioyo ya wanaoamini katika mahusiano yenye maana. “This Love” unaonesha ukomavu wake wa kisanii na uwezo wake wa kusimulia stori za mapenzi kwa uhalisia. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Dayna Nyange – This Love | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment