Msanii wa hip-hop Tanzania Izzo Bizness ameachia rasmi wimbo wake mpya “Tusijisahau,” kazi yenye ujumbe mzito wa kijamii na kisiasa unaoendana na uhalisia wa maisha ya wananchi. Izzo anajulikana kwa kutumia muziki wake kama sauti ya watu, na safari hii amerudi kwa nguvu zaidi.
RELATED: Izzo Bizness Ft Bilnass – Na Bado
Kupitia “Tusijisahau,” Izzo Bizness anawakumbusha viongozi wa kisiasa kutowasahau wananchi waliowaamini na kuwapa kura mara baada ya kufika madarakani. Kwa mashairi makali na delivery isiyo na woga, wimbo huu unaibua dhamira ya uwajibikaji, uongozi wa kweli na mshikamano wa jamii. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Izzo Bizness – Tusijisahau | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment