Msanii wa Bongo Flava Tanzania, Ibraah, alizaliwa Ibrahim Abdallah Nampunga 3 Julai 1998, Dar es Salaam, amerejea na wimbo wake mpya “Mashiko.” Ibraah alijulikana zaidi baada ya hit ya 2020 “Nimekubali” na EP yake “Steps”, akiwa ameshirikiana na wasanii kama JoeBoy na Skiibii chini ya Konde Music Worldwide.
RELATED: Ibraah – Bei Chee!
Wimbo “Mashiko” unaonesha sauti ya kipekee ya Ibraah, mashairi yenye hisia, na muunganiko wa midundo laini ya Bongo Flava na Afrobeat ya kisasa. Unazungumzia mapenzi, tamaa na hisia za kina, huku hook yake yenye mvuto ikibaki akilini baada ya mara ya kwanza kuusikia. Hii ni kazi inayothibitisha ukuaji na uthabiti wa msanii huyu katika muziki wa Tanzania, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Ibraah – Mashiko | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment