Mwanaisha Said Nyange, maarufu kama Dayna Nyange, ni msanii chipukizi wa Tanzania aliyezaliwa Mwanza, baadaye kuishi Dodoma na kwa sasa Morogoro, huku shughuli zake nyingi zikiwa Dar es Salaam. Muziki wake unaathiriwa na Bongo Flava, RnB, Zouk na Jazz, jambo linalompa utambulisho wa kipekee ndani ya tasnia.
Tarehe 08 Januari 2026, Dayna Nyange ameachia wimbo mpya “Toka” kutoka EP yake Change, akimshirikisha msanii Dayoo. Wimbo huu unaunganisha simulizi za kihisia na midundo laini ya Bongo Flava, huku Dayoo akiongeza ladha ya sauti yake ya kimelodic. Ushirikiano wao unaifanya “Toka” kuwa wimbo unaogusa hisia na rahisi kuendana na maisha ya kila siku, ukiwa exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Dayna Nyange Ft Dayoo – Toka | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment