Oscar John Lelo, maarufu kama Whozu, alizaliwa 10 Machi 1996 na anatokea Arusha, Tanzania. Ni msanii anayejulikana kwa kuunganisha pop, R&B, Afrobeat na ladha za asili za muziki wa Tanzania. Alipata umaarufu mkubwa mwaka 2018 baada ya wimbo wake “Huendi Mbinguni” kuwa wimbo rasmi wa Tamasha la Tigo Fiesta, akifuatiwa na nyimbo kama “Roboti,” “Doko,” na “Turn Me On.” Amefanya kazi na wasanii mbalimbali akiwemo Rich Mavoko, Gigy Money, Hamisa Mobetto, Alikiba, Marioo, pamoja na Billnass.
RELATED: Whozu Ft Alikiba – Gere
Tarehe 23 Desemba 2025, Whozu ameachia wimbo mpya wa Bongo Flava “Inakuhuu” akimshirikisha Billnass. Wimbo huu una midundo yenye mvuto na maneno yanayoeleweka kwa urahisi, ukionyesha chemistry kali ya wasanii hawa wawili, na unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Whozu Ft Bilnass – Inakuhuu | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment