Kampuni ya utayarishaji wa muziki Orel Studios imeshirikiana na Agape Gospel Band kuachia wimbo mpya wa injili unaoitwa “Amezaliwa,” uliotoka rasmi tarehe 23 Desemba 2025. Ushirikiano huu unaakisi ubunifu na ujumbe wa kiroho uliokita mizizi katika imani.
RELATED: Eliya Mwantondo Ft Ushindi Leonard – Adui Hana Nafasi
“Amezaliwa” ni wimbo wa shangwe unaosherehekea kuzaliwa na upya wa maisha kwa misingi ya dini ya Kikristo. Kwa kutumia midundo ya asili ya Kiafrika, sauti za kwaya na ala za kisasa za injili, wimbo huu unaleta ujumbe wa matumaini na imani, ukiwa exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Orel Studios Ft Agape Gospel Band – Amezaliwa | Download Mp3
Hizi hapa nyimbo za Mercy Chinwo;

Leave a Comment