Audio Gospel

Henrick Mruma Ft. Mathias Walichupa – Mungu Kama Wewe

EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog
EP Henrick Mruma – Convo with Christ Official EP Artwork Cover Download Mp3 Side Makini Blog

Msanii wa Injili kutoka Tanzania Henrick Mruma amerudi na wimbo mpya wa kuabudu “Mungu Kama Wewe,” akimshirikisha Mathias Walichupa. Wimbo huu ni sehemu ya EP yake Convo with Christ, iliyotoka rasmi tarehe 20 Desemba 2025, na unapatikana exclusive kupitia Side Makini Blog.

DOWNLOAD: Obby Alpha – Nani

Henrick Mruma anafahamika kwa nyimbo zenye ujumbe wa imani na matumaini kama “Kaa Nami,” “Umenipendelea,” na “Ujasiri Wangu Kama Simba.” Kupitia “Mungu Kama Wewe,” anaelezea shukrani na unyenyekevu mbele za Mungu, kwa maneno rahisi lakini yenye uzito wa kiroho yanayogusa mioyo ya waumini wengi.

AUIDO | Henrick Mruma Ft. Mathias Walichupa – Mungu Kama Wewe | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Hizi hapa nyimbo za  Mercy Chinwo;

Leave a Comment