Emmanuel Elibariki Munisi, anayejulikana kama Nay Wa Mitego, alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, na ni mmoja wa wasanii wenye msimamo mkali katika hip hop ya Bongo Flava. Maarufu kama Rais wa Manzese, Nay Wa Mitego alijipatia umaarufu kupitia nyimbo kama “Itafamika”, na amewahi kushirikiana na wasanii wakubwa akiwemo Diamond Platnumz, huku akiendesha lebo yake ya Free Nation.
RELATED: Kusah – Rafiki
Tarehe 21 Januari 2026, Nay Wa Mitego ameachia wimbo mpya “Watu,” kazi inayobeba ujumbe mzito kuhusu maisha ya kila siku. Kupitia mashairi makali na stori za mtaani, wimbo unaangazia wivu, usaliti, umoja na matokeo ya tabia mbaya katika jamii. “Watu” unaendelea kuthibitisha kwa nini Nay Wa Mitego bado ni sauti ya wananchi wa kawaida, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Nay Wa Mitego – Watu | Download Mp3
Explore More songs from Ibraah:

Leave a Comment