Sharif Said Juma, anayejulikana kwa jina la kisanii Jay Melody, alizaliwa 12 Juni 1997 jijini Dar es Salaam, Tanzania. Maarufu kama “King of Melodies,” Jay Melody alijijenga kisanii kupitia Tanzania House of Talents (THT) kabla ya kutamba na nyimbo kama “Nakupenda,” “Namwaga Mboga,” “Raha Tele,” “Zeze,” na “Goroka.”
RELATED: Jay Melody – In Love
Tarehe 21 Januari 2026, Jay Melody ameachia wimbo mpya wa Bongo Flava unaoitwa “Bedui,” uliopikwa na mtayarishaji GENIUS JINI X66. Wimbo una midundo yenye nguvu, mashairi ya kuchekesha na chorus inayobaki kichwani, ukionyesha ubunifu na ukomavu wake wa muziki. “Bedui” ni wimbo unaofaa kwa burudani za kila siku, vilabu na sherehe, na unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Jay Melody – Bedui | Download Mp3
Explore More songs from Alikiba;

Leave a Comment