Msanii maarufu wa Kaswida nchini Tanzania Juma Faki ameutoa rasmi wimbo wake mpya “Muandikishe Mtoto Wako,” uliotoka tarehe 11 Januari 2026. Kupitia kazi zake, Juma Faki amejijengea heshima kubwa kwa kuwasilisha ujumbe wa dini na maadili kwa lugha nyepesi na inayoeleweka.
RELATED: Ukhty Dyda – Kiumbe Abudu Rabbi
Katika wimbo huu, Juma Faki anahimiza wazazi na walezi kuwajibika katika elimu na malezi ya watoto, akisisitiza umuhimu wa kuwaandikisha shule na kuwaandaa kwa maisha ya baadaye. Kwa sauti tulivu na mashairi yenye busara, “Muandikishe Mtoto Wako” ni Kaswida yenye ujumbe mzito kwa jamii, inayopatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Juma Faki – Muandikishe Mtoto Wako | Download Mp3
Explore more from Israel Mbonyi;

Leave a Comment