Msanii wa Tanzania Bam Boy ameanza mwaka kwa kishindo kupitia wimbo wake mpya “Mwaka Huu Poa.” Wimbo huu wa Bongo Flava unaunganisha midundo ya kisasa na ladha ya Kiafrika, ukiupa muziki wake mvuto wa kipekee na wa kusisimua.
RELATED: Bam Boy Ft. Mulla Obo – Sio Mwaka Huu
Kupitia “Mwaka Huu Poa,” Bam Boy anawasilisha ujumbe wa matumaini, uvumilivu na kuamini katika siku bora zijazo. Mashairi yake yanagusa maisha ya wengi, huku production safi ikiongeza ladha ya kusikiliza. Ni kazi inayoonesha ukuaji wa msanii na kumweka Bam Boy kama mmoja wa wasanii wanaokuja kwa kasi ndani ya muziki wa Tanzania. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Bam Boy – Mwaka Huu Poa | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment