Itahiwacu Bruce, maarufu kama Bruce Melodie, alizaliwa 3 Machi 1992 huko Kicukiro, Kigali, Rwanda. Msanii huyu wa R&B, Soul na Dancehall alianza safari yake kama mwimbaji wa kanisani na backup singer kabla ya kushinda mashindano ya Guma Guma Super Star, hatua iliyomfungulia milango ya umaarufu Afrika Mashariki. Amejulikana kupitia nyimbo kama “Katerina” na ushirikiano wa kimataifa akiwemo Shaggy.
RELATED: Bruce Melodie – Munyakazi
Tarehe 2 Januari 2026, Bruce Melodie ameachia rasmi video ya wimbo “Pom Pom”, akiwashirikisha Diamond Platnumz na Brown Joel. Wimbo huu wa Afrosound unaonesha mchanganyiko wa midundo ya kuvutia, utamaduni wa Kiafrika na nguvu ya ushirikiano wa kikanda. Unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
VIDEO | Bruce Melodie Ft Diamond Platinumz & Brown Joel – Pom Pom (Official Video) | Download Mp4
Explore More songs from Zuchu;

Leave a Comment