Isaya Michael Mtambo, maarufu kama Chino Kidd, alizaliwa Ifakara, Tanzania, na kuanza safari yake kama mchoraji wa dansi kwa wasanii kama Marioo na Rich Mavoko. Leo, 24 Desemba 2025, Chino Kidd aachia wimbo wake mpya “Pembe” akimshirikisha Halima, ukiunganisha midundo ya Bongo Piano, Afrobeat na Amapiano.
RELATED: Mdogo Sajent X Chino Kidd Ft. Mfana Kah Gogo, Deestar ZA – Tunakuja
Amejulikana kwa uimbaji wa nguvu na hits kama “Zuma” pamoja na tagline yake maarufu “Chino Wanna Man”. Ushirikiano wake na Rayvanny, Marioo, na Jaivah umeimarisha mtindo wake, na “Pembe” inaonesha tena sauti yake ya kipekee, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Chino Kidd Ft. Halima – Pembe | Download Mp3
Explore More songs from Harmonize:

Leave a Comment