Ashraf Haji Lukamba, anayejulikana kwa jina la kisanii Lukamba, ni msanii wa reggae na dancehall kutoka Tanzania anayejulikana kwa sauti yenye hisia na performance zenye nguvu. Muziki wake unagusa masuala ya mapenzi, maisha na uhalisia wa kijamii.
RELATED: Lukamba – Babe
Tarehe 24 Desemba 2025, Lukamba ameutoa rasmi wimbo wake mpya “Come,” kazi inayobeba ladha ya Bongo Flava ya kisasa. Wimbo huu unaelezea mapenzi, mvuto na ukaribu wa kihisia, ukiwa na melodi laini na midundo inayovutia wasikilizaji wengi, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Lukamba – Come | Download Mp3
Explore More songs from Ibraah:

Leave a Comment