Ibrahim Abdallah Nampunga, anayejulikana kwa jina la kisanii Ibraah, alizaliwa Julai 3, 1998, jijini Dar es Salaam. Msanii huyu wa Bongo Flava alipata umaarufu mkubwa baada ya kusainiwa na Konde Gang Music Worldwide ya Harmonize mwaka 2020, akiachia nyimbo kama “Nimekubali” pamoja na EP yake “Steps.”
RELATED: Ibraah – Mapenzi
Wimbo “Nimpende,” uliopikwa na Wambaga, ni miongoni mwa kazi zilizomo kwenye EP “Karata 3” iliyotoka Januari 9, 2021. Wimbo unaelezea kiu ya upendo wa dhati, hisia za kujitoa na kutamani kupendwa kwa dhati. Kupitia sauti yake laini na midundo ya Bongo Flava, Ibraah anaonyesha ukomavu wa kisanii na uwezo wake wa kugusa hisia za wasikilizaji. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
Also, check others tracks from Darassa:-
Listen and Download; “Ibraah – Nimpende” Below;
Explore More songs from Ibraah:

Leave a Comment