Home Tags Technology

Tag: Technology

Uchambuzi wa Oppo A31, uwezo na sifa

Kampuni ya Oppo ni kampuni toka nchini Uchina inayokuja kwa namna nzuri katika nyanja ya simu janja duniani. Simu hii ya Oppo A31 ni moja kati...

Video, Sauti na Picha za Sayari ya Masi / Mirihi katika...

Video, sauti na picha za sayari ya masi / mirihi zilizotumwa kupitia misheni mpya ya NASA inayokwenda kwa jina la Perseverance zimeweka rekodi mpya...

Machapisho Ya Kisiasa Facebook Kupunguzwa Umaarufu Wa Kufikia Watu

Machapisho ya kisiasa Facebook yanataanza kuonekana mara chache zaidi kwenye utumiaji wa kawaida wa mtandao huo wa kijamii. Facebook wamesema wanaanza kufanya majaribio ya teknolojia...

Watumiaji Wa Apple Watch Wafikia Milioni 100 Duniani Kote

  Watumiaji wa Apple Watch wafikia milioni 100 duniani kote, jambo linalofanya Apple Watch kuwa aina ya kifaa cha nne cha Apple kuwa na watumiaji wengi zaidi. Watumiaji...

FUNUNU: Tutegemee Simu Janja Zenye ‘Display’ Nyuma Na Mbele!

Kwa sasa zile ambazo tunaziona au tuliziona kama ni za ajabu kabisa ni zile simu janja za kukunja (foldable phones), hizi ambazo zitakuja na...

Usitumie Windows 7 Wala Teamviewer, Ujumbe Kutoka FBI.

Ushawahi tafuta sababu kwa nini usitumie Windows 7 kwenye kompyuta yako? Basi FBI wanakupa sababu. Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI, limetoa tamko likisema usitumie...

Facebook Vs Apple – Facebook Waanza Kuomba Data Za Watumiaji Wa...

Facebook waanza kuomba data za watumiaji wa iPhone baada ya Apple kuanza kuweka ulinzi mpya wa data za watumiaji wa simu za iPhone katika...

Mdukuzi Adukua Mfumo Wa Maji Na Kutaka Kuongeza Kemikali Kwenye Maji

Mdukuzi mmoja Marekani adukua mfumo wa maji wa jiji la Oldsmar kwenye jimbo la Florida na kutaka kuongeza kiwango cha kemikali kwenye maji hayo...

Maisha Baada Ya Kifo MICROSOFT Wanataka Uendelee Kuwa Hai, Uwe BOT...

Je unataka maisha yako baada ya kifo yaweje? Microsoft wamechukua hatua ambazo zinaonesha wanataka watu wakifa waendelee kuwa hai kupitia mifumo ya akili bandia...

Kutumia Simu Chooni Tabia Ya Zaidi Wamiliki 7 Katika 10 Wa...

Tabia ya kutumia simu chooni imesambaa kwa kasi kubwa kuliko kawaida kwa wamiliki wa simu janja. Tafiti kadhaa zilizofanyika nchini Marekani zinaonesha ni kati...