Home Tags FAHAMU

Tag: FAHAMU

Maneno 20 ambayo hutakiwi kumwambia mtoto wako

Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi...

Zitambue faida 10 za Kuwa na Malengo Maishani

Kabla hujakamilisha chochote maishani, ni lazima ufahamu unahitaji nini. Ni lazima ukae chini utafakari kama kile unachokifanya kina thamani kwako; ikiwa hakina thamani, basi...

Chifu Mkwawa: Shujaa aliyewaongoza Wahehe kupinga utawala wa kikoloni Afrika mashariki

Fuvu la Chifu Mkwawa limewekwa ndani ya sanduku la kigae katika jumba la ukumbusho la Mkwawa huko Kalenga, Tanzania ya kati. Lakini kama taji, awali...

Zijue sifa 10 ambazo kila Mjasiriamali anatakiwa kuwa nazo

Kwa hakika ujasiriamali ni chaguo muhimu sana kwenye karne hii ya sasa ili kujipatia kipato. Hivi leo kuna wajasiriamali wengi waliofanikiwa na wengine hawajafanikiwa. Kwa...

Zifahamu aina 9 za wateja ili ukuze Biashara yako

Mteja ni nani? Mteja ni mtu yeyote anayenunua bidhaa au huduma inayotolewa na biashara fulani. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote. Lengo la...

Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kutoa chanjo kwa kuku

Changamoto za kiufugaji ni nyingi ila zisikukatishe tamaa ukifuata kanuni na taratibu za Ufugaji unaweza ukasahau kabisa kama kuna changamoto hizo. Moja wapo ya kitu...

Kifo cha Ginimbi: Genius Kadungure, umiliki wa nyoka na utata mwingine...

  Kifo cha mzimbabwe aliyekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii wa Zibabwe mwenye umri wa miaka 36 na mfanyabiashara , Genius Kadungure a al...

Jambo muhimu la kufahamu pale unapoachwa na mpenzi wako

Watu wengi, wanaume kwa wanawake wakiachwa na watu wanaowapenda kitu cha kwanza kufanya ni kuangalia kasoro zao.  Kujiangalia wamekosea wapi na wanamapungufu gani ambayo...

Mfahamu waziri mkuu wa Tanzania

Bwana Majaliwa Kassim Majaliwa, ambaye anaendelea na wadhifa wa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa muhula wa pili, alizaliwa tarehe 22 Desemba mwaka 1960 yaani...

Ginimbi Kadungure : ‘Nataka kila mtu atakayeudhuria mazishi yangu avae nguo...

Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari...