Fanuel Phabian Peter, anayefahamika kwa jina la Vanillah, ni msanii wa R&B na Afropop kutoka Tanzania aliyezaliwa 19 Februari 1996 na kukulia Mwanza. Akiwa chini ya lebo ya King Music ya Alikiba, Vanillah amejijengea jina kupitia uandishi wa nyimbo na uimbaji wenye hisia, akihusika katika kazi kama “Hainogi,” “Utu,” “Upofu,” pamoja na nyimbo zake binafsi kama “I Gat U,” “Are U Ok?” na “Hakunaga.”
RELATED: AbduKiba X Vanillah X Alikiba – Rafiki
Tarehe 21 Januari 2026, Vanillah ameachia wimbo mpya “Tamu Chungu” akimshirikisha Alikiba. Wimbo huu wa Bongo Flava unaelezea uhalisia wa mapenzi kwa kuonyesha utamu na uchungu unaopatikana kwenye mahusiano ya kweli. Kwa melodi laini na chemistry kali ya sauti, “Tamu Chungu” ni wimbo unaogusa hisia na unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Vanillah Ft. Alikiba – Tamu Chungu | Download Mp3
Explore More songs from Sam Wa Ukweli:

Leave a Comment