Audio

Mex Cortez Ft Country Wizzy & Drillah TZ – Problems

AUDIO Mex Cortez Ft Country Wizzy & Drillah TZ – Problems Download Mp3 Side Makini Blog
AUDIO Mex Cortez Ft Country Wizzy & Drillah TZ – Problems Download Mp3 Side Makini Blog

Manimendra, anayejulikana kwa jina la kisanii Mex Cortez, ni msanii wa hip-hop mwenye asili ya Sri Lanka na Tanzania, alikulia Dar es Salaam. Anajulikana kwa uwezo wake wa kucheza na maneno, flow kali, na kuzungumzia masuala ya uhalisia kama changamoto za maisha, msongo wa mawazo na jamii.

RELATED: Dizasta Vina – Fanani

Tarehe 17 Januari 2026, Mex Cortez ameachia wimbo mpya wa rap “Problems” akiwashirikisha Country Wizzy na Drillah Tz. Wimbo huu umebeba ujumbe mzito wa maisha ya mtaani na mapambano ya kila siku, ukiwasilishwa kwa mistari mikali na nguvu ya kipekee. “Problems” ni track ya 7 kutoka kwenye album ijayo IGWE, na unaonesha wazi kwa nini Mex Cortez anaendelea kuwa mmoja wa sauti muhimu ndani ya hip-hop ya Tanzania, ukipatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.

AUIDO | Mex Cortez Ft Country Wizzy & Drillah TZ – Problems | Download Mp3

DOWNLOAD NOW

Explore More songs from Msodoki Young Killer:

Leave a Comment