Nickson Kanyelele, mhubiri na kiongozi wa sifa na kuabudu kutoka Tanzania, ameachia wimbo mpya wa Injili “Ebenezer,” akiwashirikisha Zoravo na Henrick Mruma. Nickson anafahamika kwa kuhubiri Neno la Mungu kupitia muziki wake, huku akiendelea kujijengea jina ndani ya muziki wa Injili Afrika Mashariki.
RELATED: Mathias Walichupa – Simama
“Ebenezer” ni wimbo wa sifa na shukrani, unaoelezea uaminifu wa Mungu na safari ya imani. Kwa sauti zenye unyenyekevu na ujumbe wenye kugusa moyo, wimbo huu unawahimiza waumini kumkumbuka Mungu kama chanzo cha ushindi na baraka zote. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Nickson Kanyelele Ft. Zoravo, Henrick Mruma – Ebenezer | Download Mp3
Explore more from Israel Mbonyi;

Leave a Comment