Msanii na DJ wa Singeli anayetikisa Tanzania, Misso Misondo, amerudi tena kwa kishindo kupitia wimbo wake mpya “Niokoe Beat (Singeli Version),” uliotoka rasmi Januari 10, 2026. Misso anajulikana kwa ubunifu wake, nishati ya hali ya juu, pamoja na kauli mbiu maarufu “Umepigaje hapo.”
Msanii huyu alianza kupata umaarufu mkubwa mwaka 2023 kupitia video zake za DJ kutoka Mtwara, akitambulisha mtindo wa kucheza wa “Wazee wa Makoti.” Kupitia “Niokoe Beat,” Misso Misondo anachanganya midundo ya haraka ya Singeli na sauti zenye nguvu, na kuleta wimbo unaofaa kwa dansi, sherehe za mitaani na mashabiki wa muziki wa mtaa. Wimbo huu unapatikana exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Misso Misondo – Niokoe Beat (Singeli Version) | Download Mp3
Explore more songs from Yumbs;-

Leave a Comment