Dyana Cods ni msanii wa Kenya aliyezaliwa Kisumu na kukulia Nairobi, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa rap na mashairi halisi ya maisha ya mitaani. Kupitia wimbo wake mpya “Don’t Delay,” uliotoka Januari 4, 2026, Dyana anaonesha upande mpya wa kiroho na ukomavu wa kisanii.
RELATED: Jose Chameleone – You Know
“Don’t Delay” ni wimbo wa gospel unaogusa imani, tafakari na mabadiliko ya ndani, ukionyesha safari yake kutoka maisha ya awali hadi imani ya sasa. Umetayarishwa na Ares66, wimbo una sauti laini na ujumbe mzito unaogusa moyo, ukiashiria hatua mpya muhimu katika safari ya muziki ya Dyana Cods, exclusive kwenye Side Makini Blog.
AUIDO | Dyana Cods – Don’t Delay | Download Mp3
Explore More songs from Diamond Platnumz:

Leave a Comment