Henrick Mruma ni msanii wa muziki wa injili kutoka Tanzania anayejulikana kwa nyimbo zenye ujumbe wa imani, tumaini na sifa. Kupitia kazi zake kama “Kaa Nami,” “Umenipendelea,” na “Ujasiri Wangu Kama Simba,” ameendelea kuwagusa wasikilizaji wengi wa muziki wa Kikristo.
DOWNLOAD: Obby Alpha – Nani
Tarehe 20 Desemba 2025, Henrick Mruma ameachia wimbo mpya wa injili “Ninakupenda,” akimshirikisha Imani Eric Shoo, kutoka EP yake Convo with Christ. Wimbo huu ni maombi ya sifa na upendo kwa Mungu, ukiwa na maneno rahisi lakini yenye nguvu ya kiroho, na unapatikana exclusive kupitia Side Makini Blog.
AUIDO | Henrick Mruma Ft. Imani Eric Shoo – Ninakupenda | Download Mp3
Hizi hapa nyimbo za Mercy Chinwo;

Leave a Comment