DJ Mushizo ambaye amezaliwa na kukulia nchini Tanzania amejidhihirisha kuwa kinara katika anga ya muziki wa Singeli. Uwezo wake usio na kifani wa kuchanganya beats zenye nguvu nyingi na simulizi za sauti umemfanya kuwa kipenzi cha mashabiki katika tasnia ya muziki ya Afrika Mashariki.
INAYOSHUSIANA: DJ Mushizo, Ibraah, Jay Combat & Baddest 47 – Wivu Remix
Leo ameachia wimbo wame mpya uitwao “Yeyeyee” akiwa amemshirikisha vyema msanii chipukizi wa singeli Dogo Dajent sasa chukua mda wako kuapata Burundiani hii.
AUIDO | Dj Mushizo Ft. Mdogo Sajent – Yeyeyee | Download Mp3
Hizi hapa ngoma kali za Meja Kunta;

Leave a Comment