Home Makini Music AUDIO | Alikiba Ft. Mayorkun – Jealous | Mp3 Download Audio

AUDIO | Alikiba Ft. Mayorkun – Jealous | Mp3 Download Audio

0

Ali Salehe Kiba (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa mkoani Iringa 26 Novemba 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo yake King’s Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Rockstar4000, ambayo alikuwa miongoni mwa wamiliki wa lebo hiyo.


NIPIGIE KUPITIA NAMBA 0783235234


Play now On Boomplay

AUDIO | Alikiba Feat Mayorkun – Jealous | Mp3 Download Audio

 DOWNLOAD AUDIO

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.

Maisha

‘Alikiba’ alizaliwa na wazazi wake Saleh Omari na Tombwe Njere. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne kwenye familia yao, akifuatiwa na Abdu Saleh Kiba ambaye pia ni mwanamuziki, Zabib Kiba (dada yake) na Abuu Kiba (mdogo wao wa kiume wa mwisho).

Mafanikio

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki – Tanzania, Kenya na Uganda.Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki “Sony Music Entertainment” ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Tuzo

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best International Act: Africa Ameshinda[2]

Nollywood and African Film Critics Awards

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Favorite Artist Ameshinda
Mwana Favorite Song Ameshinda[3]

East Africa TV Awards

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Ameshinda
Song of the Year Ameshinda
Video of the Year Ameshinda

ASFA Awards (Uganda)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Most Stylish Artiste East Africa Ameshinda
Aje Most Fashionable Music Video Africa Ameshinda[3]

Soundcity Awards

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Video of the Year Ameshinda

TZ INSTA Awards 2016

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Top Trending Song Ameshinda

Best Celebrity Player Awards (Uganda)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best Celebrity Player Ameshinda

WANNAMusic Awards 2016 (France)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Kigezo:Nominated
Best Collabo Kigezo:Nominated
People Choice Ameshinda
(Visited 31,836 times, 304 visits today)