Home Makini Music AUDIO | Harmonize – Am Sorry (Unofficial Release) | Mp3 Download Audio

AUDIO | Harmonize – Am Sorry (Unofficial Release) | Mp3 Download Audio

0

Harmonize (kwa jina lake halisi Rajab Abdul Kahali; mara kadhaa hujiita “Konde Boy”; amezaliwa Chitoholi, mkoa wa Mtwara, 15 Aprili 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania.

AUDIO | Harmonize – Am Sorry (Unofficial Release) | Mp3 Download Audio

 DOWNLOAD AUDIO

Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza “Aiyola” (2015), Bado (2016), Matatizo (2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya WCB (Wasafi Classic Baby) ambaye ni Diamond Platnumz.

Aliamua kuhama WCB na kuanzisha lebo yake Konde Music Worldwide

Kwa ngwaru ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya Afrika ya Mashariki akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya Tanzania ambaye anaitwa burna na diamond Platnumz alikuwepo kwenye huo wimbo. Sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho Never Give Up, wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana. Harmonize anasimamiwa na Joel Joseph au kwa jina lingine Mr Puaz. Kwa sasa msanii huyu yuko peke yake baada ya kujitoa WCB pia amekuwa akitoa ngoma kama vile uno ambayo imepata umaarufu mkubwa na kuwa gumzo yani number one on trending. Pia kwa sasa ameachia kazi yake ya pili iitayo kushoto Julia ambayo amesikika akimtaja Diamond ambapo ni kwa mara ya pili.

Maisha ya Awali

Harmonize ana asili ya Mtwara. Alisoma katika shule ya sekondari Mkundi iliyopo mjini Mtwara. Baada ya kumaliza elimu yake ya sekondari, Harmonize alielekea Dar es Salaam ambako alijipatia riziki yake ya kila siku.

Harmonize mwanzoni alibeba maji ili kupata tonge la chakula, pia alikuwa akiuza kahawa kwa wafanyabiashara wengine na wakazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam kabla ya sauti yake kutambulika mitaani. Kisha kuchukuliwa na lebo ya Diamond Platnumz ijulikanayo kama WCB. Kwa sasa ameamua kujiondoa katika lebo hiyo kutokana na sababu ambazo hazikuwekwa wazi.

Alianza kujihusisha na muziki mnamo mwaka  ambapo alitoa nyimbo mbalimbali lakini hazikuweza kupata umaarufu mkubwa mpaka pale ambapo alikutana na Diamond Platinumz mnamo mwaka 2015 na kuanza kufanya muziki pamoja naye.

Harmonize ndiye mwanamuziki aliyetoa albamu yenye nyimbo 18 akiwa amewashirikisha Yemi Alade wa Nigeria na albamu hiyo inaitwa Afro East.

Diskografia

Nambari Mada ya wimbo Mwaka
1. Aiyola 2015
2. Bado ft Diamond Platnumz 2016
3. Matatizo 2017
4. Happy Birthday 2017
5. Shula 2017
6. Sina 2017
7. Niambie 2017
8. Dont go 2017
9. Nishachoka 2017
10. Nakupenda 2017
11. Kwa ngwaru ft. Diamond platnumz 2018
12. Dm chick 2018
13. Atarudi 2018
14. Paranawe ft. Rayvanny 2018
15. Niteke 2019
16. Show me what you gat ft. Yemi Alade 2019
17. Kainama ft. Diamond Platnumz na Burna boy 2019
18. Ndoenda 2019
19. Never give up 2019

Tuzo na teuzi

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Bado Ft Diamond Platnumz WatsUp TV Tuzo la Video Bora zaidi ya Mwimbaji Chipukizi Ameshinda[2]
Yeye Mwenyewe African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) kwa Mwimbaji Chipukizi Ameshinda[3]
African Entertainment Awards (AEAUSA) kwa Msanii Chipukizi Bora zaidi Ameshinda[4]
(Visited 3,317 times, 6 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here