Home Makini Music AUDIO | Zuchu – Nyumba Ndogo (Singeli) | Mp3 Download Audio

AUDIO | Zuchu – Nyumba Ndogo (Singeli) | Mp3 Download Audio

0

Zuhura Kopa (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Zuchu; alizaliwa 22 Novemba 1993[1]) ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na msanii wa kurekodi wa Kitanzania. Amesainiwa chini ya lebo ya WCB Wasafi Records chini ya uongozi wa Diamond Platnumz.

Alitunukiwa tuzo ya silver play button na mtandao wa kijamii wa Youtube kwa kuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika mashariki kwa kufikisha wafuasi zaidi ya 100,000 ndani ya wiki moja.

Katika wiki ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa, Zuchu alitunukiwa tuzo ya msanii bora chipukizi wa mwaka 2020 na All Africa Music Awards|AFRIMMA

AUDIO |  Zuchu – Nyumba Ndogo (Singeli) | Mp3 Download Audio

 DOWNLOAD AUDIO

Zuchu amezaliwa kwenye familia ya wanamuziki . Ni binti wa mwanamuziki wa taarabu anayefahamika kwa jina la Khadija Kopa

Zuchu alianza kuimba akiwa na umri mdogo na baadae kushirikiana na mama yake Khadija Kopa katika wimbo unaofahamika kama Mauzauza [9] Zuchu alitambulika rasmi kwenye Tasnia ya muziki mnamo Aprili 2020 . [10] Mpaka sasa ana albamu moja na alichaguliwa kushiriki mashindano ya kuwania tuzo ya MTV, MAMA awards ya mwaka 2021. Kwenye mashindano hayo, Zuchu amepangwa katika kipengele cha ‘best breakthrough act’, anakabiliwa na ushindani kutoka kwa Elaine na Focalistic wa Afrika Kusini na Tems na Omah Lay wote kutoka Nigeria, John Blaq (Uganda) na Sha Sha (Zimbabwe).

Mpaka sasa ana albamu moja na alichaguliwa kushiriki mashindano ya kuwania tuzo ya MTV, MAMA awards ya mwaka 2021. Kwenye mashindano hayo, Zuchu amepangwa katika kipengele cha ‘best breakthrough act’, anakabiliwa na ushindani kutoka kwa Elaine na Focalistic wa Afrika Kusini na Tems na Omah Lay wote kutoka Nigeria, John Blaq (Uganda) na Sha Sha (Zimbabwe).[11]

Albamu

Zuchu aliachia albamu ya kwanza iliyotambulika kama “ I am Zuchu “ mwaka 2020 ikiwa na nyimbo 7. [12] Albamu yake ndiyo iliyosikilizwa na watu wengi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2020 na vidio za nyimbo zake zimetazamwa na mamilioni ya watu.

Nyimbo zake

Mwaka Nyimbo Albamu
2020 “Hakuna Kulala” I Am Zuchu EP
“Nisamehe”
“Kwaru”
“Wana”
“Raha”
“Ashua”(feat. Mbosso)
“Tanzania ya Sasa”
“Shangilia”
“Mauzauza”(feat. Khadija Kopa)
“Cheche” (feat. Diamond Platnumz)
“Litawachoma” (feat. Diamond Platnumz)
“Hasara”
“Nobody” (feat. Joeboy)
2021 “Sukari”
(Visited 17,742 times, 37 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here