Home Makini Tech ThinkPad X1 Fold: Lenovo waja na laptop yenye skrini inayokunjika

ThinkPad X1 Fold: Lenovo waja na laptop yenye skrini inayokunjika

Notice: Trying to access array offset on value of type null in /home/teknoloj/public_html/wp-content/plugins/intelly-related-posts/includes/core.php on line 163

 

Lenovo wametambulisha laptop mpya inayokwenda kwa jina la ThinkPad X1 Fold laptop yenye skrini yenye uwezo wa kukunjwa.

Laptop hii inayotumia programu endeshaji ya Windows 10, inachukua sifa ya kuwa laptop ya kwanza kuja na teknolojia hii ambayo tayari imeanza kuja kwenye simu – kama vile Samsung Galaxy Fold.ThinkPad X1 Fold laptop

 

Laptop hii inaweza kutumika kama tableti lakini pia inaweza kutumika kama kompyuta kamili kutokana na uwezo wa kutumia keyboard za mfumo wa bluetooth. Inaukubwa wa inchi 13.

INAYOHUSIANA  SnapChat: Sasa Utalipia Dola 0.99 Kuuangalia Tena Meseji Ulizozisoma!
ThinkPad X1 Fold
Inakuja na keyboard inayotumia bluetooth pamoja na uwezo wa kutumia peni kwenye skirini (Stylus).

Sifa na uwezo wake

  • Inakuja prosesa ya Intel Lakefield
  • Port mbili za USB-C
  • Uwezo wa kutumia laini (Sim Card)
  • Uwezo wa RAM wa GB 8
  • Uwezo wa Diski Uhifadhi wa TB 1
  • Uzito wa takribani kilogramu 1.1
  • Teknlojia ya 5G

Laptop ya ThinkPad X1 Fold imeanza kupatikana kwa malipo ya awali (preorder) ya dola 2,499 (Zaidi ya Tsh Milioni 5 za kitanzania).

(Visited 2 times, 1 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here