Home Michezo Bondia Mwakinyo na Paz wa Argentina wapima uzito

Bondia Mwakinyo na Paz wa Argentina wapima uzito

Bondia Hassan Mwakinyo kesho November 13 2020 atapanda ulingoni kupambana dhidi ya Carlos Paz kutokea Argentina.

Mwakinyo katika pambano la round 12 ambalo litafanyika Next Door Arena wakiwania Ubingwa wa WBF, usiku huo kutakuwa na mapambano manne tu.

(Visited 1 times, 1 visits today)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here